Ali Akbar Pourjamshidian

IQNA

IQNA – Mkuu wa Makao Makuu ya Kitaifa ya Arbaeen nchini Iran amesisitiza kuwa, matembezi ya kila mwaka ya kiroho ya Arbaeen yana uwezo mkubwa usio na kifani katika kukuza na kueneza utamaduni wa Qur’ani Tukufu miongoni mwa mamilioni ya mazuwaru.
Habari ID: 3482558   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/29